
Bondia Mgaya kuzikwa kesho Januari 2, Jeti Lumo
Mweka hazina wa Chama cha mabondia wa ngumi za kulipwa nchini, Cosmas Cheka amesema kuwa bondia Hassan Mgaya sasa anatarajia kuzikwa kesho Januari 2, 2025 badala ya leo Jumatano kama ilivyotangazwa awali kutokana na kusubiriwa baba wa marehemu anayetarajia kuwasili leo kutokea DR Congo. Cheka amesema kuwa awali baba wa marehemu alitaka wazike leo kwa…