
Shangwe la Mwaka Mpya 2025: Bei za mafuta zaendelea kushuka
WATUMIAJI wa bidhaa za mafuta ya petroli nchini wameuanza mwaka mpya wa 2025 kwa shangwe ya kuendelea kupata unafuu bei za bidhaa hizo kwa mwezi Januari 2025. Aanaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro … (endelea) Taarifa iliyotolewa na EWURA, leo Jumatano, mosi, imeonesha bei za mwezi huu kuendelea kushuka ambapo petroli kwa lita imeshuka kwa sh….