
Kambi za Mbowe, Lissu zategeana umakamu mwenyekiti Chadema
Dar es Salaam. Wakati Tundu Lissu na Freeman Mbowe wanachuana kuwania uenyekiti wa Chadema, kinyang’anyiro kingine kinatarajiwa kushuhudiwa kwenye nafasi ya umakamu mwenyekiti-bara ambayo kambi hizo mbili bado zinategeana. Uliacha Ezekiel Wenje ambaye ametangaza nia hiyo, wengine wanaotajwa ni John Heche na Godbless Lema. Mbowe anayetetea nafasi hiyo aliyeiongoza kwa miaka 20, ataumana vikali na…