
KMC yamng’oa Chikola Tabora United
BAADA ya kiungo mshambuliaji wa KMC, Ibrahim Elias ‘Mao’ kutoonekana kikosini uongozi wa timu hiyo umemalizana na Offen Chikola kwa ajili ya kuongeza nguvu kikosini humo. Elias tangu alipoonyeshwa kadi nyekundu kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Fountain Gate ugenini huku timu yake ikikubali kichapo cha mabao 2-0 hajaonekana kikosini. Chanzo cha kuaminika kutoka ndani…