
RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AREJESHA TABASAMU KWA WANAFUNZI WENYE ULEMAVU MOSHI
NA WILLIUM PAUL, MOSHI. NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga amekabidhi viti mwendo na vifaa vya shule kwa watoto wenye ulemavu ili kuwarahisishia kufika shule. Naibu Waziri huyo alikabidhi viti hivo kumi ambapo shughuli hiyo ilifanyika katika ukumbu wa halmashauri ya Moshi (KDC) wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro ambapo…