Halmashauri Tano Zatangaza Nafasi za Kazi mpya Septemba 2025 – Global Publishers
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri za Wilaya husika anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi kuomba nafasi za kazi zilizotolewa, kufuatia vibali vya ajira kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mwaka wa fedha 2023/2024. 1. HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO Kibali: Kumb. Na. FA.97/228/01/09…