
Rita: Ndoa ya aina hii haitambuliki kisheria
Dar es Salaam. Licha ya kufunga ndoa ya dini miaka 10 iliyopita, Jane Elias alijikuta katika sintofahamu baada ya kuambiwa ndoa yake haitambuliki kisheria. Jane ni miongoni mwa wanandoa wengi wanaofunga ndoa katika nyumba za ibada, lakini wengi wao wanapofika kwenye sheria, hujikuta ndoa zao hazitambuliki kutokana na sababu mbalimbali. Jane anasema alifunga ndoa ya…