
Usambaaji picha za ngono janga la kitaifa
Moshi. Ni kukua kwa teknolojia ya mawasiliano ya habari, ulimbukeni au malezi mabaya? Ni maswali yanayoumiza wengi kwa sasa, baada ya kuibuka wimbi la usambaaji picha za ngono, video na za mnato, kupitia mitandao ya kijamii. Video hizo baadhi wanatajwa kujirekodi au kurekodiwa kwa hiyari na kuzisambaza wakiwamo wahitimu wa vyuo. Kutokana na wimbi hilo…