
MOROGORO YATAJWA KANDA MAALUM UFUGAJI WA KISASA
Mkoa wa Morogoro watajwa kuwa Kanda Maalum ya ufugaji wenye tija kwa kuwa na ng’ombe wa kisasa na mashamba ya malisho kwa ajili ya mifugo. Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amebainisha hayo Januari 03, 2025 katika Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro alipokuwa akizungumza na baadhi ya wafugaji wa mkoa huo akifafanua…