
Viongozi wa dunia walaani shambulio la New Orleans, Marekani – DW – 02.01.2025
“Hizi ni habari mbaya kutoka New Orleans,” ameandika Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz kwenye ukurasa wake wa mtandao wakijamii wa X, na kuongeza kuwa watu waliokuwa wakisherehekea kwa furaha wameuawa au kujeruhiwa kutokana na na chuki zisizo na maana. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani vikali shambulio hilo na kutoa salamu za…