
Dili la Fountain Gate lamtega Kapama
LICHA ya kutajwa kumalizana na Fountain Gate (FOG), kiungo wa zamani wa Simba, Nassoro Kapama huenda akakutana na rungu la kufungiwa baada ya kudaiwa kusaini mkataba na timu hiyo akiwa bado ana mkataba na Kagera Sugar. Kapama alirudi katika klabu ya zamani ya Kagera kwa mkataba wa mwaka mmoja na kuitumikia kwa miezi sita baada…