
Nani amefeli hapa; mfumo wa elimu au mwanafunzi?
Arusha. Gazeti hili tarehe 20 Agosti mwaka huu lilikuwa na ripoti ya Tamisemi kuhusu elimumsingi (BEST 2025), iliyoonyesha kwamba kuna uhaba mkubwa wa walimu katika shule zetu. Ilikuwa ripoti ya kusikitisha, hasa ukizingatia kwamba mtoto wetu wa Kitanzania ana haki ya kupata elimu bora kama vile alivyo na haki ya kupata malezi bora. Pia haki…