Vikosi vya Syria vyaanzisha operesheni Homs – DW – 02.01.2025
Shirika la Uangalizi wa Haki za Binadamu la Syria linasema operesheni hiyo inalenga waandamanaji wa Alawi, maandamano ambayo serikali mpya imeyatafsiri kama uchochezi. Maandamano hayo yalichochewa na video ya shambulio kwenye jumba la ibaada, ingawa serikali inadai ni ya zamani. Hatua hii imeongeza hofu ya kulipiziwa kisasi ndani ya jamii ya Alawi baada ya kuondolewa…