AKILI ZA KIJIWENI: Jibu la Chalamanda ni rahisi sana
MDAU mmoja hapa kijiweni amehoji kwa nini kipa wa Kagera Sugar, Ramadhan Chalamanda kaitwa katika kikosi cha timu ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ kitakachocheza kwenye Kombe la Mapinduzi. Ameshangaa kuitwa kwa Chalamanda huku akiwa hayupo hata katika orodha ya makipa watano wanaoongoza kwa kucheza mechi nyingi bila kuruhusu mabao (clean sheet). Na akatoa mfano wa…