Radi yaua ng’ombe 16 hifadhini Rukwa
Rukwa. Radi imeua ng’ombe 16 katika Kijiji cha Ngolotwa, wilayani Kalambo, mkoani Rukwa. Tukio hilo limetokea Jumatano Januari 1, 2025 wakati ng’ombe hao wakichungwa katika hifadhi ya Kalambo mkoani humo, huku mmiliki mpaka sasa akiwa hajafahamika. Mhifadhi Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Ibrahim Mkiwa amesema wamewakuta ng’ombe hao wamekufa hifadhini humo, huku akitoa rai kwa…