Biashara ya mkaa yapaa, kuni ikiporomoka
Dar es Salaam. Katika kipindi cha miaka mitatu mfululizo, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeripoti kuwapo kwa ongezeko la fedha zinazotumika kununua mkaa kwa zaidi ya mara mbili. Katika ripoti tofauti za uchumi wa Kanda za BoT, zinaonesha mauzo ya mkaa yaliongezeka kutoka Sh3.5 bilioni katika mwaka ulioishia Machi 2023, hadi Sh7.6 bilioni katika mwaka…