Kamati za Bunge kujifungia Dodoma siku 18 kwa kazi tano
Dar es Salaam. Kamati za Kudumu za Bunge la Jamhuri ya Muungano zinatarajia kuanza vikao vya kuanzia Januari 6 hadi 24, 2025 jijini Dodoma, ambapo pamoja na mengine zitachambua taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na kuchambua taarifa za uwekezaji wa mitaji ya umma. Taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Mawasiliano na…