Mkali wa mabao KenGold akimbilia Namungo
KLABU ya Namungo iko katika hatua za mwisho za kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji wa KenGold, Joshua Ibrahim baada ya kufikia makubaliano binafsi na nyota huyo, aliyekitumikia kikosi hicho cha jijini Mbeya kwa mkataba wa miezi sita tu. Straika huyo ndiye kinara wa mabao wa wageni hao wa Ligi Kuu wanaoburuza mkia kwa sasa akiwa na…