Naibu Waziri Chumi ashiriki sherehe za kuadhimisha Miaka 80 ya Uhuru wa Vietnam
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Cosato Chumi, amemwakilisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mohamoud Thabit Kombo, ameshiriki kwenye maadhimisho ya miaka 80 ya Uhuru wa Vietnam yaliyofanyika jijini Dar Es Salaam. Maadhimisho hayo yamefanyika ikiwa ni pamoja na kuazimisha miaka 60…