Polisi wanne wanaotuhumiwa kupora bodaboda kwa silaha kizimbani tena leo
Dar es Salaam. Askari wanne wa Jeshi la Polisi Kitengo cha Intelijensia mkoani Kilimanjaro, wanaokabiliwa na kesi ya uporaji wa pikipiki ya abiria maarufu bodaboda, kwa kutumia silaha, leo Jumatano, Septemba 3, 2025 tena wanapandishwa kizimbani. Askari hao wanaokabiliwa na kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Moshi, inayosikilizwa na Hakimu Mkazi Mkuu, Ally Mkama…