Benchikha afungua ‘CODE’ za beki Simba
SIMBA imerudi mazoezini ikiendelea kujipanga hapa nchini, lakini kuna kocha mmoja aliyewahi kuinoa timu hiyo ameshtuka aliposikia usajili wa mido mmoja akisema pale Msimbazi wamepata kamanda matata uwanjani. Kocha aliyezungumza hayo ni Abdelhak Benchikha, ameshtuka kusikia kiungo Alassane Kante amesajiliwa na timu hiyo kisha akakumbuka fasta ilikuwa afanye kazi na Msenegali huyo akiwa Misri. Benchikha…