Dunia yaikaribisha 2025 kwa shangwe, hofu na matumaini – DW – 01.01.2025
Ni wazi kabisa kwamba mwaka wa 2024 utaingia katika historia kama mwaka wa joto zaidi kuwahi kurekodiwa, huku majanga yanayochochewa na mabadiliko ya tabianchi yakiharibu maeneo kuanzia tambarare za Ulaya hadi Bonde la Kathmandu. Sydney — inayojivunia kuwa “mji mkuu wa Mwaka Mpya duniani” — ilirusha tani tisa za fataki kutoka Jumba lake maarufu la…