CCM Kinondoni kuanza na makundi kisha kampeni
Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, kimesogeza mbele ratiba ya kuanza kampeni zake kikisema kinatoa nafasi ya kuvunja makundi yaliyoibuka kipindi cha kura za maoni. Kampeni rasmi katika majimbo ya Kawe na Kinondoni zinatarajiwa kuzinduliwa rasmi Septemba 13 na 14, 2025, kama sehemu ya maandalizi kuelekea Uchaguzi…