Askofu Ruwa’ichi aeleza sababu kwa nini binadamu wasizoee kifo
Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Yuda Ruwa’ichi amewataka Watanzania kutozoea kifo kwani watakuwa viumbe wa ajabu. Askofu Ruwa’ichi ametahadharisha endapo watu watajenga mazoea dhidi ya kifo, watasababisha mauaji ya binadamu wenzao kwa mzaha. Kiongozi huyo ametoa wito huo leo Jumamosi Septemba 27, 2025 wakati wa…