EQUITY KUSHIRIKIANA NA TALEPPA KUINUA SEKTA YA NGOZI TANZANIA
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV BENKI ya Equity Tanzania imeingia makubaliano ya ushirikiano na Chama cha Watengenezaji wa Bidhaa za Ngozi Tanzania (TALEPPA) kwa lengo la kufungua fursa za minyororo ya thamani katika sekta ya ngozi nchini. Pia katika makubaliano hayo yameambatana na uzinduzi wa Mradi wa Viatu vya Ngozi vya Shule Tanzania (TALSSI) ambao…