Simba kuwatangaza Nangu, Yakoub | Mwanaspoti
WACHEZAJI wapya wa Simba, kipa Yakoub Suleiman na beki wa kati Wilson Nangu tayari wamepigwa picha zitakazotumika kuwatangaza kuwa sehemu ya kikosi hicho kwa msimu ujao. Chanzo cha uhakika cha Mwanaspoti kimesema baada ya Simba kukamilisha kila kitu kwa ajili ya usajili wa wachezaji hao, leo Jumanne wamepigwa picha kabla ya kujiunga na timu ya…