NI SAMIA CHEMBA…AAHIDI MAKUBWA SEKTA YA KILIMO,SERIKALI KUNUNUA MATREKTA MILIONI 10 KATIKA MIAKA MITANO IJAYO
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Chemba WAKULIMA sasa ni neema tele kwao! Hivyo ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)Dk.Samia Suluhu Hassan kuahidi kufanya mageuzi makubwa katika sekta hiyo ikiwemo mpango wa kununua matrekta Milioni 10 katika miaka mitano ijayo ili kuwawezesha wakulima kukodisha trekta kwa nusu bei ya ile inayokodishwa…