Polisi TZ yambeba Kawambwa | Mwanaspoti
BAADA ya kukosa nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha Singida Black Stars, beki Rashid Kawambwa amepelekwa Polisi Tanzania inayoshiriki Championship kuitumikia kwa mkopo hadi mwisho wa msimu. Kawambwa ni miongoni mwa wachezaji waliotolewa kwa mkopo na Singida Black Stars kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo linalotarajiwa kufungwa Januari 15 mwaka huu. “Polisi Tanzania imeonyesha…