WANANCHI CHEMBA WAMEITIKA…RAIS SAMIA AAHIDI UJENZI BARABARA IMO YA CHEMBA-SOYA
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Chemba MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Rais Dk.Samia Suluhu Hassan ametoa ahadi ya Ujenzi wa barabara ndani ya Wilaya ya ndani ya Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma ikiwemo barabara ya Chemba – Soya yenye urefu wa kilometa 32. Kwa mujibu wa Dk.Samia ni kwamba barabara hiyo imekuwa ikilalamikiwa na wananchi kwa…