Mechi 10 zaishtua Simba Tunisia
Simba imetazama historia ya mechi zake 10 zilizopita za kimataifa ilizocheza ugenini na kugundua ina kazi kubwa ya kufanya katika mechi ya kesho jijini Tunis, Tunisia itakapocheza na CS Sfaxien ya huko. Katika mechi hizo 10 zilizopita za kimataifa ambazo Simba imecheza ugenini, haijapata ushindi huku ikitoka sare tano na kupoteza michezo mitano. Na mechi…