Kwa nini kipato chako hakilingani na juhudi zako kazini
Dar es Salaam. Si kila mavuno yanaakisi ulichopanda. Kifungu hiki cha maneno kinabeba uhalisia wa maisha ya baadhi ya watu ambao juhudi zao katika kazi wanazofanya hazilingani na matokeo. Kama umewahi kumwona mtu anayefanya kazi bila kupumzika, kiwango cha juhudi zake kinatazamwa kuwa mfano, lakini hali ya uchumi wake imebaki bila mabadiliko, huo ndiyo muktadha…