Taoussi aanza hesabu mpya | Mwanaspoti
KIKOSI cha Azam FC kimeanza mazoezi mapema wiki hii, ili kuijiandaa na lala salama ya Ligi Kuu Bara, huku kocha wa timu hiyo, Rachid Taoussi akisisitiza amewarejesha mapema mastaa wa timu hiyo ili kuhakikisha hesabu zake kwa duru la pili la ligi zinakaa sawa kuanzia Machi Mosi. Azam inayoshika nafasi ya tatu kwa sasa nyuma…