Hali Bado Tete Marekeani, Moto Bado Unasumbua… – Global Publishers
Moto mkubwa unaendelea kuteketeza maeneo mbalimbali ya Los Angeles, huku juhudi za kikosi cha zimamoto zikiendelea kudhibiti hali hiyo maeneo ya milima ya Santa Monica, Califronia, nchini Marekani. Moto huu, ulioanza Jumanne, Januari 7 2025, umesababisha uharibifu wa zaidi ya nyumba na miundombinu 10,000 katika eneo lenye idadi kubwa ya watu lenye…