Jukwaa la wakuu wa taasisi za SMT na SMZ kuongeza ushirikiano
Unguja. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema Jukwaa la Wakuu wa Taasisi za Serikali za Tanzania Bara na Visiwani (SMT na SMZ) limeweka vipaumbele vya kuimarisha ushirikiano. Abdulla amesema hayo leo Jumatatu Januari 6 2025, wakati wa ufunguzi wa jukwaa la tatu la SMT na SMZ lililofanyika Unguja ikiwa ni mwendelezo…