PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JANUARI 4,2024
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JANUARI 4,2024 About the author
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JANUARI 4,2024 About the author
Mlipuko wa kipindupindu uligunduliwa katika kambi hiyo mapema Oktoba na baadaye kuthibitishwa na vipimo vya maabara. Kwa sababu Al Hol haina kituo maalum cha matibabu ya kuhara kwa majimaji makali, ni muhimu kwamba watu wengi wapatiwe chanjo haraka iwezekanavyo, Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa, UNICEFanasisitiza. “Kwa mara ya kwanza tulipokea chanjo ya kipindupindu…
HAPA tena Meridianbet kasino ya mtandaoni tunakuletea mchezo wa namba wenye bonasi kubwa na rahisi kucheza, mchezo wa keno ni moja ya michezo pendwa inayopatikana Meridianbet. Extra Bingo ni mchezo wa kasino ya mtandaoni uliotengenezwa na gwiji wa michezo ya kasino ya mtandaoni Wazdan. Je, umechoka kusubiri mpaka kipindi fulani ili kupata droo inayofuata? Kuanzia…
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura (Elimu) Dkt. Rose Likangaga akifunga mafunzo hayo kwa niaba ya Mjumbe wa Tume, Dkt. Zakia Mohamed Abubakar. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura (Elimu) Dkt. Rose Likangaga akifunga mafunzo hayo kwa niaba ya Mjumbe wa Tume, Dkt. Zakia Mohamed Abubakar.Mwenyekiti…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Unjenzi wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja,ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto kwa Rais ) Mkuu wa Mkoa wa…
Mbunge wa Jimbo la Mafinga na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Cosato Chumi (Mb) ametembelea TFS-Shamba la Miti Sao Hill ili kuona namna shughuli za upandaji miti na uhifadhi wa misitu zinazofanywa na Shamba Mbunge wa Jimbo la Mafinga na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano…
*Sloti ya European Roulette HAKIKISHA katika pirika zako za kila siku za utafutaji, usisashau kuchungulia kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet huko kuna chimbo moja la utajiri rahisi sana, ni mchezo wa sloti ya European Roulette inayokupa nafasi ya kushinda kwa njia rahisi ya kubashiri namba zipi zitokea baada ya gurudumu kusimama. European Roulette ni moja…
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na maafisa wa shirika la umeme nchini [tanesco] linawashikilia watuhumiwa wawili Movin Joseph Mwaholi [53] Mfanyabiashara wa vifaa vya umeme na Rehema Jamson Silia [42] Mfanyabiashara wa chuma chakavu, mkazi wa nzovwe kwa tuhuma za kukutwa na miundombinu ya umeme na maji. Watuhumiwa walikamatwa Januari 02, 2025…
TUKIWA tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu 2025 Jitihada mbalimbali zinaendelea kuchukuliwa ambazo zinalenga wanawake kupata uongozi kwa kuzingatia usawa wa kijinsi na kuhakikisha 50 kwa 50 inafikiwa kwenye nafasi hizo. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeweka wazi haki za wanawake za kushiriki katika uongozi, ibara ya 21 inasisitiza kuwa kila raia wa Jamhuri ya…
Kuporomoka kwa jengo la ghorofa ya juu jijini Dar es Salaam hivi karibuni na kusababisha vifo vya watu 16 na wengine zaidi ya 80 kujeruhiwa, kumeibua wasiwasi kuhusu kujiandaa na maafa katika jiji hilo. Credit: Kizito Makoye Shigela/IPS by Kizito Makoye (dar es salaam) Ijumaa, Januari 03, 2025 Inter Press Service DAR ES SALAAM, Jan…