Mwinyi amjibu Othman tuhuma za ufisadi, deni la Taifa
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amejibu tuhuma zilizotolewa na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman kuhusu ufisadi na ongezeko la deni la taifa lisiloendana na kazi zinazofanyika. Rais Mwinyi amejibu madai hayo leo Januari 3, 2025 wakati akifungua kituo cha mabasi cha Kijangwani, akisema licha ya maendeleo yanayofanyika, wapo watu (hakuwataja) wanataka…