Congress yathibitisha ushindi wa Trump – DW – 07.01.2025
Kinyume na hali ilivyokuwa miaka minne iliyopita, siku ya Jumatatu (Januari 6) bunge la Marekani lilifanikisha kwa wepesi tukio hilo ambalo ni alama ya mila ya kidemokrasia kwa taifa hilo kubwa duniani bila ya mashaka yoyote. Makamu wa Rais Kamala Harris alisimamia zoezi hilo la kuhisabiwa kura za wajumbe na kisha akamtangaza rasmi aliyekuwa mpinzani wake kwenye…