Wakimbizi vijana wa Venezuela wanapata mwanzo mpya katika shule za Trinidad – Masuala ya Ulimwenguni

Wakati mkimbizi wa Venezuela mwenye umri wa miaka 11 Astrid Saavedra alipoingia katika darasa lake la darasa la nne huko Trinidad na Tobago kwa siku yake ya kwanza shuleni mnamo Septemba, alikuwa na hamu ya kuanza masomo katika somo alilopenda zaidi, hisabati. Lakini matarajio ya kufundisha wanafunzi wenzake kuhusu nchi yake ya Venezuela yalikuwa ya…

Read More

“Dirisha la makadirio ya Kodi kwa mwaka 2025 lafunguliwa Wafanyabiashara Mkoa wa Tanga wakumbushwa”

Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Tanga, Thomas Masese, amewakumbusha wafanyabiashara kuhusu dirisha la makadirio ya kodi kwa mwaka wa 2025, linaloanzia Januari hadi Machi 2025, likiwa na lengo la kurahisisha ulipaji kodi bila kuwekewa adhabu. Akizungumza Meneja Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Tanga amesema kuwa lengo la kukutana na…

Read More

Ahoua achorewa ramani mpya | Mwanaspoti

KAMA wewe ni mpenzi na shabiki wa Simba, basi tegemea kuona maajabu zaidi kutoka kwa kiungo mshambuliaji, Jean Charles Ahoua hasa kwa mechi za kimataifa, baada ya kocha Fadlu Davids kueleza mipango ya kumchorea ramani mpya ili azidi kufunika. Kiungo huyo raia wa Ivory Coast anayeichezea Simba msimu wa kwanza akisajiliwa kutoka Stella Club d’Adjam…

Read More

Stendi ya mabasi Kijichi kubadilishwa matumizi

Dar es Salaam. Stendi ya Kijichi iliyojengwa kwa ajili ya mabasi yaendayo mikoa ya Kusini sasa inatarajiwa kubadilishwa matumizi, baada ya malengo ya ujenzi kutotekelezeka. Mradi huo uliogharimu Sh3.9 bilioni kupitia Miradi ya Uendelezaji Jiji la Dar es Salaam (DMDP) ukijumuisha soko, maduka makubwa na stendi, umekimbiwa na wafanyabiashara. Mradi huo ulianza kazi Oktoba 17,…

Read More

Benchikha aitema JS Kabylie | Mwanaspoti

MUDA mchache baada ya JS Kabylie kufuzu hatua ya 16 Bora ya Kombe la FA la Algeria, kocha wa timu hiyo aliyewahi kuinoa Simba, Abdelhak Benchikha ameachia ngazi, ikielezwa ni presha kubwa aliyokutana nayo tangu ajiunge nayo msimu huu licha ya timu kuongoza msimamo wa Ligi Kuu ya nchi hiyo. Benchikha ameomba mwenyewe kuondoka klabuni…

Read More

Yao atangaza vita mapema | Mwanaspoti

WAKATI mashabiki wakianza kujiuliza mtaani na mtandaoni itakuwaje mara beki wa kulia ya Yanga, Yao Kouassi atakaporejea kutoka kwenye majeruhi kutokana na kiwango kilichoonyeshwa na Kibwana Shomary aliyewashika kwa sasa, lakini beki huyo kutoka Ivory Coast amevunja ukimya na kusema anaukubali uwezo wa mwenzake, huku akisititiza anaamini akipona atarejea katika eneo hilo kama kawaida. Yao…

Read More

Matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne

  BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne ambayo yatawawezesha wanafunzi kujiunga na kidato cha tatu na darasa la tano. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kuangalia matokeo ya kidato cha pili ingia HAPA Kuangalia matokeo ya darasa la nne ingia HAPA About The Author…

Read More