ASKARI WALIOFANYA VIZURI WAPEWA ZAWADI-SONGWE.
Na Issa Mwadangala Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Ignace Senga ametoa Zawadi kwa askari waliofanya vizuri katika kazi za Polisi baada ya kukagua mazoezi yaliyoandaliwa na Kikosi cha kutuliza Ghasia Mkoa wa Songwe. Zawadi hizo ni pamoja na pesa taslimu zilizotolewa Januari 04, 2025 na kueleza kuwa…