Korea Kaskazini yafanya jaribio la kombora la masafa ya kati
Pyongyang. Korea Kaskazini imerusha kombora la masafa ya kati ikiwa ni mwendelezo wa majaribio yake ya silaha. Kombora hilo limerushwa wakati ambao Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken anaendelea na ziara yake nchini Korea Kusini. Taarifa iliyotolewa jana Jumatatu Januari 6, 2025 na Jeshi la Korea Kusini ilisema kombora hilo lilielekezwa…