Sharifa, Glory Tausi warejesha fomu Bawacha
Dar es Salaam. Zikiwa zimesalia siku 13 kuelekea uchaguzi wa viongozi wa mabaraza ya Chadema, baadhi ya wagombea wameanza kurejesha fomu. Wagombea waliorudisha fomu ni Sharifa Suleiman anayewania uenyekiti wa Baraza la Wanawake Taifa (Bawacha) na Glory Tausi anayeomba kuwa naibu katibu mkuu wa Baraza hilo bara. Hatua ya wagombea hao kurejesha fomu, inatoa nafasi…