TASAF YABORESHA UPATIKANAJI WA HUDUMA ZA AFYA KINYIKANI PEMBA
Wakazi wa Shehia ya Kinyikani wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini Pemba, Visiwani Zanzibar wameondokana na adha ya ukosefu wa huduma za afya baada ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF kukamilisha ujenzi wa Kituo cha Afya Kinyikani na nyumba ya watumishi kwa gharama ya shilingi milioni 552. Kituo hicho kimezinduliwa leo na Spika wa Baraza…