Mapinduzi Cup 2025 vita ya wanandugu
PAZIA la michuano ya Kombe la Mapinduzi 2025 ambayo kwa msimu huu imehusisha timu za taifa, linafunguliwa leo usiku kwa mchezo mmoja unaozikutanisha timu ‘ndugu’ za Tanzania Bara na Zanzibar, huku Uganda The Cranes ambao ni moja ya wenyeji wa Chan 2025 na Afcon 2027 ikijiondoa katika dakika za mwishoni. Michuano hiyo inayofanyika kwenye Uwanja…