2025
USANIFU WA BARABARA HUFANYIKA KABLA YA UJENZI
::::::: Imeelezwa kwamba Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) hufanya usanifu wa kina wa barabara kabla ya ujenzi kuanza kutekelezwa. Hayo yamebainishwa na Mhandisi wa miradi kutoka TARURA Faizer Mbange wakati akitoa elimu kwa umma kwa wananchi waliofika kwenye Maonesho ya Nane ya Madini Mkoani Geita. Amesema kwamba barabara nyingi nchini zinazosimamiwa na…
Wasira Aungana na Dkt. Nchimbi Katika Mazishi ya Abbas Mwinyi – Global Publishers
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira ameungana na Mgombea mwenza wa Urais Dkt. Emmanuel Nchimbi na viongozi mbalimbali kushiriki mazishi ya Mtoto wa Rais Mstaafu Hayati Ali Hassan Mwinyi, Abbas Ali Mwinyi yaliyofanyika Bweleo Zanzibar. Mbali na kushiriki mazishi hayo, Wasira alitoa pole kwa Mgombea Urais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali…
DC MAYANJA:TANZANIA ITAJENGWA NA WATANZANIA WENYEWE
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Janeth Mayanja,akizungumza leo Septemba 26.09.2025 na timu ya maafisa kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) walipofika ofisini kwake kwa ajili ya kujitambulisha na kumtaarifu juu ya zoezi la kampeni ya elimu ya kodi mlango mlango wilayani humo. Na.Yahya Saleh-Chamwino “Hatuna nchi nyingine zaidi ya Jamhuri ya Muungano wa…
Ahadi tata za wagombea zawaibua wasomi
Dar es Salaam. Wakati kampeni za vyama vya siasa zikizidi kupamba moto nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025, wasomi wamebaini pengo kati ya ahadi zinazotolewa na baadhi ya wagombea na uwezekano wa kutekelezeka. Pengo hilo limewafanya wanataaluma hao kuona haja ya kufanya mdahalo Septemba 28, 2025 jijini Dar es Salaam utakaovikutanisha vyama vya siasa,…
Asasi za kiraia lazima ziwe na msemo katika mapambano ya upya – maswala ya ulimwengu
Maoni ya podium na alama ya Umoja wa Mataifa katika Jumba la Mkutano Mkuu. Mkopo: UN PICHA/LOEY FELIPE na Andrew Firmin (London) Ijumaa, Septemba 26, 2025 Huduma ya waandishi wa habari LONDON, Septemba 26 (IPS)-Kama wiki ya ufunguzi wa kiwango cha juu cha Mkutano Mkuu wa UN inapotokea, na wakuu wa majimbo wakitoa hotuba za…
Dk Linda: Tuongeze wataalamu wa usimamizi wa miradi
Wakulima wilayani Kishapu mkoani Shinyanga wamekabidhiwa matrekta yenye thamani ya Sh238.4 milioni ili kuondokana na matumizi ya jembe la mkono na kuongeza uzalishaji kupitia kilimo na kukuza uchumi wao na taifa kwa ujumla.
NIT yaonesha ubunifu wa wanafunzi kwenye Maonesho ya Wahandisi
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV Dar es Salaam, Septemba 26, 2025 – Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kimeshiriki katika Maonesho ya 22 ya Wahandisi yanayoendelea katika viwanja vya Mlimani City, ambapo wanafunzi wake wametumia fursa hiyo kuonesha ubunifu wao kwa wananchi. Akizungumza katika maonesho hayo, mwanafunzi wa shahada ya Uhandisi wa Umeme, Mohamed Chipokoso,…
ZTE YASHIRIKIANA NA YAS KUIPELEKA TEKNOLOJIA MFUKONI MWA MTANZANIA
:::::::: Na Mwandishi Wetu Katika zama hizi ambapo teknolojia inaongoza maisha ya kila siku, kampuni ya Yas, kwa kushirikiana na ZTE, imezindua rasmi simu mpya aina ya ZTE Blade A36 na Blade A76—zikilenga kumfikisha Mtanzania wa kawaida kwenye dunia ya kidijitali bila mzigo wa gharama kubwa. Simu hizi, ambazo ni maboresho ya matoleo ya awali…
NIT yaonesha ubunifu wa wanafunzi kwenye Maonesho ya Wakandarasi
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV Dar es Salaam, Septemba 26, 2025 – Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kimeshiriki katika Maonesho ya 22 ya Wakandarasi yanayoendelea katika viwanja vya Mlimani City, ambapo wanafunzi wake wametumia fursa hiyo kuonesha ubunifu wao kwa wananchi. Akizungumza katika maonesho hayo, mwanafunzi wa shahada ya Uhandisi wa Umeme, Mohamed Chipokoso,…