Kaya 400,000 zaondolewa mpango wa Tasaf
Unguja. Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) katika utekelezaji wa afua mbalimbali, umehitimisha kaya za walengwa 400,000 nchi nzima, kati ya hizo 22,400 zinatoka Zanzibar. Mkurugenzi Mtendaji wa Tasaf, Shedrack Mziray amesema hayo kwenye uzinduzi wa Kituo cha Afya Kinyikani, Pemba kilichojengwa na mfuko huo. “Kaya hizi baada ya kuhudumiwa na mpango kwa takribani miaka…