Dk Mwigulu: TRA msiwahurumie wakwepa kodi
Arusha. Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba, ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha kila anayepaswa kulipa kodi analipa kwa mujibu wa sheria, bila kuonesha huruma kwa wakwepa kodi. Dk Mwigulu ametoa agizo hilo leo Januari 6 2025 jijini Arusha, alipozungumza katika mkutano wa tathmini ya utendaji kazi kwa nusu mwaka wa 2024/25 wa TRA,…