Ushindi wa Lissu, Mbowe uko hapa
Dar es Salaam. Mizania ya ushindi wa nafasi ya uenyekiti wa Chadema kwa mtazamo wa wataalamu wa siasa, inalingana kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu, ingawa wanasema kila mmoja ana sifa inayomtofautisha na mwenzake. Kwa mujibu wa wanazuoni, kuelekea uchaguzi huo, Mbowe anabebwa na ukongwe ndani ya chama na uwezo kiuchumi, huku Lissu akibebwa…