Sh2.5 bilioni kujenga stendi ya kisasa Chunya
Mbeya. Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, imeanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa stendi ya kisasa yenye uwezo wa kuchukua mabasi 100 kwa siku na vibanda 300 vya biashara. Mradi huo unakadiriwa kugharimu zaidi ya Sh2.5 bilioni na utakamilika Septemba mwakani. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumatatu, Januari 6, 2025, Mwenyekiti wa Halmashauri ya…