JKT Queens kuanza na Wasudani U17 Cecafa
TIMU ya soka ya wanawake ya vijana U17 ya JKT Queens inatarajiwa kuzindua michuano ya CAF kanda ya Cecafa inayoanza kesho kwa kuvaana na City Lights FA ya Sudan Kusini kwenye mchezo wa Kundi A wa michuano hiyo itakayochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, uliopo Chamazi Dar es Salaam. JKT Queens imepangwa kundi moja sambamba…