MAKAMU WA RAIS WA ZIMBABWE AWASILI TANZANIA KWA ZIARA YA KIKAZI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Mheshimiwa Kanali Mstaafu Kembo Campbell Mohadi amewasili nchini Agosti 30. 2025 kwa ziara ya kazi ya siku mbili hadi Agosti 31 2025 kwa mwaliko wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango. Alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius…